Page:Adapting and Writing Language Lessons.pdf/436

From Wikisource
Jump to navigation Jump to search
This page has been proofread, but needs to be validated.
Sample Pages
APPENDIX U
ingewezekana Ingewezekana, kitu kingekuwa huko.
Watafanya nini? watafanya nini, kitu kikiwa huko?
SENTENCE FROM INVENTORY:
Mji uko huko.
[The city is there. ]
Mji uko huko.
TENSE MODIFIERS:
sasa Mji uko huko sasa.
zamani Mji u1ikuwa huko zamani.
siku zijazo Mji utakuwa huko siku zijazo.
Wanataka nini? Wanataka mji uwe huko.
ingewezekana Ingewezekana, mji ungekuwa huko.
Watafanya nini? Watafanya nini, mji ukiwa huko?
FURTHER SENTENCE FROM INVENTORY:
Dr. Banda yuko safarini.
[Dr. Banda is on a trip. ]
Dr. Banda yuko safarini.
TENSE MODIFIERS:
sasa Dr. Banda yuko safarini sasa.
siku zijazo Dr. Banda atakuwa safarini siku zijazo.

419