Page:Adapting and Writing Language Lessons.pdf/442

From Wikisource
Jump to navigation Jump to search
This page has been proofread, but needs to be validated.
Sample Pages
APPENDIX U
KEY EXAMPLE:
kitu hicho, vitu hivyo kitu hicho, vitu hivyo
INVENTORY:
bwana bwana huyo, mabwana hao
makamu wa rais makamu wa rais huyo, makamu wa rais hao
ziara ziara hiyo, ziara hizo
rafiki rafiki huyo, marafiki hao
nchi nchi hiyo, nchi hizo
safari safari hiyo, safari hizo
muda muda huo
wiki wiki hiyo, wiki hizo
KEY EXAMPLE:
kitu kile, vitu vile kitu kile, vitu vile
INVENTORY:
bwana bwana yule, mabwana wale
makamu wa rais makamu wa rais yule, makamu wa rais wale
ziara ziara ile, ziara zile
rafiki rafiki yule, marafiki wale
nchi nchi ile, nchi zile
safari safari ile, safari zile
muda muda ule
wiki wiki ile, wiki zile

425