Page:Adapting and Writing Language Lessons.pdf/433

From Wikisource
Jump to navigation Jump to search
This page has been proofread, but needs to be validated.
CHAPTER 8
MANIPULATIONS BASED ON NEWS ITEMS (SWAHILI)
Wanataka nini? Wanataka Dr. Banda awe Rais wa Malawi.
ingewezekana Ingewezekana, Dr. Banda angekuwa Rais wa Malawi.
Watafanya nini? Dr. Banda akiwa Rais wa Malawi, watafanya nini?

9. 'Have' (cf. Learner's Synopsis, par.63 )

KEY EXAMPLE:
Watoto wana vitabu.
[The children have books.]
Watoto wana vitabu.
TENSE MODIFIERS:
sasa Watoto wana vitabu.
zamani [long ago] Watoto walikuwa na vitabu zamani.
siku zijazo [in the future] Watoto watakuwa na vitabu siku zijazo.
Anataka nini? Anataka wawe na vitabu.
Atafanya nini? Atafanya nini, watoto wakiwa na vitabu?
ingewezekana Ingewezekana, watoto wangekuwa na vitabu.
SENTENCE FROM INVENTORY:
Malawi ina rais.
[Malawi has a president.]
Malawi ina rais.

416