Page:Adapting and Writing Language Lessons.pdf/434

From Wikisource
Jump to navigation Jump to search
This page has been proofread, but needs to be validated.
Sample Pages
APPENDIX U
TENSE MODIFIERS:
sasa Malawi ina rais sasa.
zamani Malawi ilikuwa na rais zamani.
siku zijazo Malawi itakuwa na rais siku zijazo.
Anataka nini? Anataka Malawi iwe na raise
Atafanya nini? Atafanya nini, Malawi ikiwa na rais?
ingewezekana Ingewezekana, Malawi ingekuwa na raise

10. 'Have not'

KEY EXAMPLE:
Watoto wana vitabu?
[no the children have books?]
La, hawana.
[No, they haven't.]
TENSE MODIFIERS:
Watoto wana vitabu sasa? La, hawana vitabu sasa.
watoto wa1ikuwa na vitabu zamani? La, hawakuwa na vitabu zamani.
watoto watakuwa na vitabu siku zijazo? La, hawatakuwa na vitabu siku zijazo.
Anataka watoto wawe na vitabu? La, anataka wasiwe na vitabu.
Watoto wangekuwa na vitabu? La, wasingekuwa na vitabu.
Atafanya nini, watoto wakiwa na vitabu? Ata£anya nini, wasipokuwa na vitabu?

417