Page:Adapting and Writing Language Lessons.pdf/438

From Wikisource
Jump to navigation Jump to search
This page has been proofread, but needs to be validated.
Sample Pages
APPENDIX U

12. Affirmative vs. negative. (cf. Learner's Synopsis, par. 53-61)

KEY EXAMPLE:
Watoto watasoma?
[Will the children study?]
La, hawatasoma.
[No, they won't study. ]
AFFIRMATIVE QUESTIONS:
Watoto wanasoma sasa? La, hawasomi sasa.
Watoto walisoma jana? La, hawakusoma jana.
Watoto watasoma kesho? La, hawatasoma kesho.
Wanataka watoto wasome? La, wanataka watoto wasisome.
Ingewezekana, watoto wangesoma? La, hawangesoma.
Watoto wamesoma? La, hawajasoma.
Watoto wakisoma, tutafanya nini? Au, wasiposoma, tutafanya nini?
SENTENCE FROM THE INVENTORY:
Rais atafanya ziara?
[Will the president make an official trip?]
La, hatafanya ziara.
AFFIRMATIVE QUESTIONS:
Rais anafanya ziara sasa? La, hafanyi ziara sasa.
Rais alifanya ziara jana? La, hakufanya ziara jana.
Rais atafanya ziara kesho? La, hatafanya ziara kesho.
Anataka rais afanye ziara? La, ana taka asifanye ziara.

421