Page:Adapting and Writing Language Lessons.pdf/439

From Wikisource
Jump to navigation Jump to search
This page has been proofread, but needs to be validated.
CHAPTER 8
MANIPULATIONS BASED ON NEWS ITEMS (SWAHILI)
Ingewekana, rais angefanya ziara? La, hangefanya ziara.
Rais akifanya ziara tutafanya nini? . Asipofanya ziara tutafanya nini?
Rais amefanya ziara? La, hajafanya ziara.

13. Relative affixes. (cf. Learner's Synopsis, par. 42-47)

KEY EXAMPLE:
Watoto wanasoma. Alitaja watoto wanaosoma.
[The children are reading. ] [He mentioned the children who are reading. ]
TENSES:
Watoto wanasoma sasa. Alitaja watoto wanaosoma sasa.
Watoto walisoma jana. Alitaja watoto waliosoma jana.
Watoto watasoma kesho. Alitaja watoto watakaosoma kesho.
Watoto wamesoma mara nyingi. Alitaja watoto waliosoma mara nyingi.
SENTENCE FROM INVENTORY:
Ziara itakachukua wiki moja. Alitaja ziara itakayochukua wiki moja.
[The tour will take one week.] [He mentioned a tour that will take one week.]
TENSES:
Alitaja ziara inayochukua wiki moja sasa. Ziara inachukua wiki moja sasa.

422