CHAPTER 8
MANIPULATIONS BASED ON NEWS ITEMS (SWAHILI)
EXAMPLE FROM INVENTORY: | |
Malawi ina rais? [Does Malawi have a president?] |
La, haina. |
TENSE MODIFIERS: | |
Malawi ina rais sasa? | La, haikuwa na rais zamani. |
Malawi ilikuwa na rais zamani? | La, haikuwa na rais zamani. |
Malawi itakuwa na rais siku zijazo? | La, haitakuwa na rais siku zijazo. |
Anataka Malawi iwe na rais? | Anataka Malawi isiwe na raise |
Malawi ingekuwa na rais? | La, isingekuwa na rais |
Watafanya nini, Malawi ikiwa na rais? | Watafanya nini, Malawi isipokuwa na rais? |
11. 'Be located' (cf. Learner's Synopsis, par. 62)
KEY EXAMPLE: | |
Kitu kiko huko. [The thing is there.] |
Kitu kiko huko. |
TENSE MODIFIERS: | |
sasa | Kitu kiko huko sasa. |
zamani | Kitu ki1ikuwa huko zamani. |
siku zijazo | Kitu kitakuwa huko siku zijazo. |
Wanataka nini? | Wanataka kitu kiwe huko. |
418