Sample Pages
APPENDIX U
KEY EXAMPLE: | |
kitu hicho, vitu hivyo | kitu hicho, vitu hivyo |
INVENTORY: | |
bwana | bwana huyo, mabwana hao |
makamu wa rais | makamu wa rais huyo, makamu wa rais hao |
ziara | ziara hiyo, ziara hizo |
rafiki | rafiki huyo, marafiki hao |
nchi | nchi hiyo, nchi hizo |
safari | safari hiyo, safari hizo |
muda | muda huo |
wiki | wiki hiyo, wiki hizo |
KEY EXAMPLE: | |
kitu kile, vitu vile | kitu kile, vitu vile |
INVENTORY: | |
bwana | bwana yule, mabwana wale |
makamu wa rais | makamu wa rais yule, makamu wa rais wale |
ziara | ziara ile, ziara zile |
rafiki | rafiki yule, marafiki wale |
nchi | nchi ile, nchi zile |
safari | safari ile, safari zile |
muda | muda ule |
wiki | wiki ile, wiki zile |
425